sasa kaka nifurahisana wimbo huu arakini wakati tunaanza kubarikiwa unakatika nabado nitamu samahani uwutiye tena mpaka mwisho mugu akuwejeshe kwayote unayo talajiya kafamya
huyu jamaa ni mtumishi ambaye amebarikiwa kwa kipawa cha kuimba na kucheza, shetani alikuwa ametuibia staili za kucheza na kujua haya mambo ni ya dunia sasa shetani tunamgeuka.. asante kaka. may the power of Kingdom and richenes be with you, God bless Tz
matendo,i love the song.
grenchen2003 1 year ago
Thats a good question.
lady3460 1 year ago
This has been flagged as spam show
Action speaks more louder than words true my brother Bony
kwamboka1 1 year ago
Actions speaks more louder than words my brother Bony
kwamboka1 1 year ago
Wonderful
evkiny1 1 year ago
Comment removed
evkiny1 1 year ago
beautiful
doskoulaa 1 year ago
Bwana asifiwe isiwe sababu kweli! thats true and bony mwaitege
Airforcebz 1 year ago
wimbo mzuri
wanjo100 1 year ago
Wow that nice songs!!!!!!!!!!!!
irankundajennifer 1 year ago
i really like de song it's nice
200alli 1 year ago
Ni kweli kesema bwana asifiwe kila siku haimaanishi nimeokaka. Matendo yangu yafaa kuwa kielelezo kwa wengine kuwa namheshimu na kumwogopa mungu.
Sashahon 2 years ago
damn,remindz me of Leo Njogu.God bless that toto sana. yerf.
mnmzliloz 2 years ago
I first heard this in a matatu and it was a hit in my heart,
God bless you pastor and you are welcome hapa Nyeri town in Kenya
Wakti wowote... Baraka
capturedkenya 2 years ago
For sure actions speaks louder than words.
A beautiful message but how where is the full version?
rmbmb 2 years ago
I LOVE THIS SONG.. bwana asifiwe or praise the Lord by mouth does not mean that one is saved..actions will show..
God bless Pastor Bony.
Faith/netherlands
blessedfay 2 years ago
pls jamani tumalizieni huu wimbo maana umeishia katikati,huu wimbo unatubariki sana
BIGJEFF15TZ 2 years ago
i like keep up bro
irmagol 3 years ago
sasa kaka nifurahisana wimbo huu arakini wakati tunaanza kubarikiwa unakatika nabado nitamu samahani uwutiye tena mpaka mwisho mugu akuwejeshe kwayote unayo talajiya kafamya
kingmoe770 3 years ago
wimbo bado inaendelea, unaharaka sana ngoja two seconds itaanza tena
jackmuchemi 2 years ago
Kwani Bahati Bukuku alikuwa hajaolewa bado?
binwasgloria 3 years ago
Mungu akubariki kaka kwa ujumbe huo.Very nice song God bless you
binwasgloria 3 years ago
huyu jamaa ni mtumishi ambaye amebarikiwa kwa kipawa cha kuimba na kucheza, shetani alikuwa ametuibia staili za kucheza na kujua haya mambo ni ya dunia sasa shetani tunamgeuka.. asante kaka. may the power of Kingdom and richenes be with you, God bless Tz
jmatungwa 3 years ago
sasa kaka yangu naomba muweke upya wimbo wa utanitambuaje kwa sababu huo uliopo umeishia katikati haujafika mpaka mwisho
sadneema 3 years ago
Samahani hakumuoa Bahati ulikuwa tu uvumi kwenye magazeti alimuo mke mwingine
lmashua 3 years ago
All the good guys are taken, hasa tukiwa huku inje wanaume wakiafrica wanabadilika unabaki tu kuwatazama!
lmashua 3 years ago
Ni kwa sababu hamkuweza kuwadhibiti.
NGURUNGA 2 years ago
hahaha hawadhibitiki
lmashua 2 years ago
Je ni kweli bony mwaitege amemuoa bahati bukuku?
sadneema 3 years ago
ndiyo ni kweli
lmashua 3 years ago
He got married to Bakuku last month! mke mwema kweli
lmashua 3 years ago
So what?/ mind ur own buz
HonerIpp123 3 years ago
Good song..
Bololomama3 3 years ago
Barikiwa kaka kwa ujumbe huo.
filomk 3 years ago
Hallo kaka ujumbe wako unanibariki sanä. Mungu akubariki pamoja na watumishi wengine unao saidiana nao.
Norway/Taveta-Kenya
alfredkoleta 3 years ago
jamani, huyo dada anayemsaidia ni Bahati Bukuku eehh?
ikupaackim 3 years ago
Ni Bahati Bukuku
filomk 3 years ago
Oh my God!! Thank you soooo much for this song...
TzBriana 4 years ago