Added: 4 years ago
From: lamuboy
Views: 131,036
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:
see all

All Comments (85)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • Ok i have a question is this song of bi kidude or Asha abdo? cause bi kidude sang this Ya laiti too.

  • j'aime cette chanson ça me donne de la nostalgie

  • This song is a Bomb! Very nice,very soothing ,very romatic,I just Love this song alot!

  • Comment removed

  • i love this song, plz guide me how to download the song mp3,,, i tried so many times but i couldent

  • @124foreva Consider buying her CDs may be. It will help Malika and you would possible enjoy the music better knowing you did the right thing. No offense intended.

  • Schönes Lied YALAITI kutoka huko Mombasa Kenya lakini picha ama film hiyo siyo huko, ninge penda kuona Bahari na watu wa Mombasa !!!

  • shuu lo4a haida iraniye wala hebwre

    wallah ana ma ba3ref kef haida:d

  • hallo there,

    nice song thanks for uploading,

    maulidi juma coming up soon

    peace

  • ooh yes, this is it,realy miss home,Bongo ndiyo pepo yetu,we would´nt be here ugenini kama kwetu kungekuwa kuna ajira na amani!!!

  • Naaaam utamu huu jamani........yalaiti

  • back home,lol home sweet home.Malika where are you?

  • Malika yuko huko Marekani USA !

  • yaa laiti means (if i) it goes like this"( if i truely love i love you with all my heart i dont suspect you in my heart, i wont live you today and tomorrow in heaven. it makes it difficult for me to be away from you, i wont live you today and tomorrow in heaven).it is truely a luv song

  • @ MrNeohunter : Ya laiti haijamaanisha "lala chini", ni neno la majuto lenye kuthibitisha kama una simanzi moyoni.

  • "Ni la dhati kwa hakika pendo langu" it means "Truely, my love is honest", ce qui veut dire en bon français : "Certes, mon amour est véridique".

    Najaribu kuwafasiria ndugu zangu walioomba kuelewa maana. Nivigumu kufasiri neno "ni la dhati" peke yake, lazima ujumuishe maneno yote ili kupata maana hasa.

  • c'est une déclaration d'amour pur

  • yala iti...inamaanisha lala chini

  • Nyimbo ii mazuri sanna. Nipe mapendo yako.

  • @itsjessica887 even people r going to blame us, it's nothing n don't worry, our love we make it strong n last for ever. In this world I pray to god, our life to last for ever my love, and in heaven to be together my sweetheart, I hope u understood about this song now. sorry I couldn't explain everything as my self I'm poor in swahili:(

  • @itsjessica887 take out jelousy and worries in ur heart, to live u that wount happen, I'll catch u today and tomorrow in heaven, it's hard to be with far from eachother, my love believe me n agree, I love u and I don't others

  • @itsjessica887 i don't know what is linadhati, but pendo langu , the truth my love, i wount hide co's that life, I wount let u got till infront of God,

  • @taibbun lina dhati means truelly or honestly ... :)

  • @sophiamophia no clue Like I said my swahili is a bit ugly but maybe it could be honest or truly, no Idea I guess u know better.

  • @sophiamophia Oh! ok got ur point, linadhati means truly or honest lol! thanx I have no clue thats the meaning.

  • @taibbun Ni la dhati means "without any doubt."

  • @itsjessica887 I'm gonna transalet but some words I'm not good too,

    I wish I love some then don't what pasi n kifani means , anyways the difference I wount put in my heart, I wount let u go today and tomorrow in heaven,

  • @taibbun Pasi kifani means "extreme or beyond comparison." It is a contraction of pasipo na kifani.

  • gocavs itz each to der own...kama una wivu kaji nyonge kumamakoo...lamu boi santa sana nyimbo tamuuu

  • lol this sounds terrible, the music sounds like it's being played by mongoloid freaks and the woman sounds like she's being raped or some shit.

  • lamuboy please tuweke na nyimbo zatenge

  • yalaiti napenda pasi kifani, sikuachi leo na kesho peponi. nimeziye imi kwa nyimbo hii.

  • how about a video that goes with this beautiful song.

  • she sing like a girl who come frome anjouan comores .i like this song

  • this lady know how to sing ..go girl

  • Katimich watokea pande gani barisheba, mimi ni meishi kwa mzee mwalimu Mohamed salim alikuwa na wholesale kwa kina Feisal

  • mohamed salim (babu) na kina feisal, dafiya na wajuwa wako hai mpaka sasa?

  • yeah wako hai wote allhamdullilah, feisal ana junior sasa moja. wewe ulikowa ukiishi wapi exactly.

  • nilikuwa naishi karibu ya wakina toto. naitwa barebare sikumbuki tho.but ukiwa una namba ya faisal i'ld really appriciate ukinipa bro.

  • Asha abdo Malika is from Somalia but sings Somali & Sawahili

  • thanks lamuboy for uploading,it reminds me those earlier days at kisauni.i miss such times

  • ok someone please up load Vidonge with they lyrics, I'm really really really Home sick please.

  • anaetaka mp3 yake aniambie nimtumie kwa email yake. sadikh,,,,,,,,,,,,,ama ukame ukizidi jikaze na maji baridi!

  • unfortunately many people in my memories of this song have sadly passed on .. mngu awaeka pema penye wema insha'allah, i remember as a child listening to this song, i am now 27 with 3kids my... siku zenda...umri wapungua... keep 'em comin'

  • nilikuwa mpenzi wa nyimbo za asha abdow(malika)na nimezipata chini ya jina asha abdo

  • mbona hakuna nyimbo za kiswahili lakini? nimeangalia sikuona hata moja ama wewe ulipa ngani? please nijulishe

  • kuna ya swahili --- asha abdo ----

  • Harusi za Kisauni na Barsheba. Just those sweet memories, I can't believe now am stuck in Texas Baridi moja kwa mbili.

  • Yalaiti

    Napenda pasi kifani

    Tafauti sikutilii moyoni

    Sikuati leo na kesho peponi

    I LOVE YOU

    Kiswahili ni lugha yangu ya pili. Ninamiss home, Kenya..Kenya...Kenya..

  • yalaiti ewe malika ndio lamu boya lete raha post nyingine kama hizo na zaid brother

  • chini ya asha abdo,nilikuwa nikitafuta kama wewe..

  • Macho yangu yamejaa machozi, umenikumbusha miezi zangu za past....thank you sana.

  • Unni maliza bruuuuddddaa!!

  • what language is this?

  • swahili

  • swahili, kenyan coast music and some parts of tanzania and zanzibar,, it is called taarab music

  • swahili from the coastal regions of East africa.

  • almost the whole of east africa relatively speak and understand kiswahili

  • I thought only the coastal regions of E.africa.

  • No peuple from heyland spek Sheng.

  • Hallo bro lamuboy, thanks for the post, i love and adore malika (casha), i was exposed to her music, when i visited mombasa. Please, can you post SITAKI SITAKI, it is very special song to me, i trully have looked around but in vain. Thanks Lamuboy

  • Sema dada kwani nani mwingine stadi wa kutunga yano mashairi na nyimbo?

  • santa baba, walahi nahisi huzuni nikikumbuka zama hizo, Unanikumbusha mbali. mie mjomvu mwenyewe nimelelewa nikiskiza nyimbo hizi. shukran sana

  • Thanx a bunch Wo/.

  • wacha kutuzinguwa wewe walushoto hujuwi kuwa Bi Kidude na malika wana ujamaa wote ni watu wakutoka kisiwani usituleteye mambo yako yakutoka bara mavuzi yako walahi mtoto wa kiamu sauti yako ndio nzuri zaidi I LOVE YOU

  • mama shakila ..

  • lamuboy hongera yako wanikumbusha pendo la kale...shukran sana.hizi ndizo zilizopendwa.

  • Santa! Umenikumbusha mbali!!!

  • yomamee.THE 1 N ONLY MALIKA

  • Thankx lamuboy this is wonderful,the video too

  • lamuboy ungekua karibu yangu ningekupa big hug

  • Walahi mtoto wa kiamu,hapo umecheza kama pele.Umenipunga hata sijui nifanyeje,Asante mwanechu,chanda chema baba.

  • Original ya Bi Kidude kutoka Zanzibar ndio nzuri zaidi. hata hivyo Malika ana sauti nzuri.

  • Thanks Lamu boy!

  • ahasantum mwenechu. Hela tuekee zingine za Bi Malika, Queen of Taarab.

  • Tunda bivu, halitaki kwanguliwa,

    Jani kavu, linakauka kwa juwa,

    Mwenye kovu, simtaraji kapowa.

  • Nuna shavu,na macho usifunguwe

    Bana mbavu, sauti usiitowe

    Alo wivu, nyongo asiitowe

    upo buashraf

  • Shukran Lamuboy!some more tarab pliz!!

  • Ahsante,umenikumbusha mbali.

  • thnx so much swt hrt....wallah hii burudani kabisa.post nyimbo nyingine za malika pls

  • santaa! Amu boy kama una za maulidi , marehemu malkia rukia , sitara bute zimwage mwenechu!!! Yalaiti

  • ahsante kwa kutupumbaza lamuboy please nitafutilie nyimbo za princess farida na the mushrooms. Ahsante again

  • Wow!such a nice song and video, i love it good job.

Loading...
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more