Added: 5 years ago
From: msizaki
Views: 27,306
Sort by time | Sort by thread (beta)

Link to this comment:

Share to:

All Comments (60)

Sign In or Sign Up now to post a comment!
  • They got the capital wrong. Tanzania capital is Dodoma and not Dar es Salaam.

  • THE ANCHORS AT CNBC ARE ILLEGALLY MONITORING MY PERSONAL LIFE

    I AM NOT CRAZY I DO NOT BELIEVE IN UFOs OR CONSPIRACY THEORIES THIS IS TRULY HAPPENING TO ME. I AM SEEKING CIVIL AND CRIMINAL CHARGES AGAINST EVERYONE FOUND GUILTY OF ILLEGALLY MONITORING MY PERSONAL EMAILS AND PHONE CALLS.

    I'M NOT A FAMOUS OR PUBLIC PERSON. I HAVE NO RELATIONSHIP WITH THEM I'VE CALLED THEIR LEGAL STAFF AND THEY HAVE CONSISTENTLY IGNORED AND CIRCUMVENTED AFTER INFORMING ME OF AN "Internal investigation

  • Capital city is NOT Dar its DODOMA

  • This was a very nice interview, fairly well addressed by my president.

  • This nigga is on crack. This tanzania nigga president needs to be fired trying to sell off the countries resources. You need to vote for me the worldleader!!! kwete = crook

  • @Wrldleader1 ur right man..as in for real this guy is doing nothing but selling off everything we have..am from tanzani btw..thnx for your wonderful comment..made my day

  • good president not  like nyerere

  • @hadijabrown except nyerere never try to sell our country..

  • KIKWETE AIBADILI TVT KUWA TBC

    Nyoka ni nyoka hata avae ngozi ya kuku.Watanzania wanajua kwamba TVT ilikuwa wapiga debe wa CCM. Kubadili jina kuwa TBC haisaidii. Badala yake tutaiogopa zaidi.Sera zao ndio mbaya.Wangebadili sera siyo jina.Kubadili jina kunaonyesha maovu mapya wakitumia jina jipya. RTD haijawahi heshimiwa kama chombo huru cha habari,Haitaheshimiwa ikiitwa TBC. TVT watu walikuwa wakihama wanapoanza propaganda za CCM, watafanya hiyo hata wakiitwa TBC.Kila mtu ana remote ataitumia.

  • Kikwete anamtaka Munishi awe OFISA USALAMA WA TAIFA. Munishi amekataa. Munishi anadai yeye ni mchungaji na hawezi kuwa kachero wa Tanzania. Munishi anaiona hiyo kama mbinu ya serikali kumnyamazisha. Walimhaidi Munishi kwamba wangemfanya tajiri wa mahoteli ya kitalii. Munishi anajiuliza, ni kwa nini hawezi kuwa na biashara hizo kama akitaka bila kuyaunga mkono maovu ya CCM? Tayari wameanza kumsumbua kwa ajili ya msimamo huo. Makachero wameivamia nyumba ya Munishi huko Moshi wameiba motocyle 3.

  • Mzee Kikwete, Kazi ya kikosi cha USALAMA WA TAIFA ni nini? Je ni kuwahangaisha wale wenye mawazo tofauti na chama tawala? Au ni kuwarubuni wachungaji wa makanisa ili wakiunge mkono CHAMA CHA MAJAMBAZI? Juzi kikosi hicho cha usalama wa CCM kilivamia nyumbani kwangu Moshi vijijini. Walichukua piki piki mbili mpya na moja iliyotumika. Pia walichukua TV pamoja na satilaiti kipokeo, ili ionekane ni wezi wa kawaida. Chukueni kila kitu. Lakini hamtauchukua uhuru wangu wa maoni. CCM imezeeka, Hatuitaki.

  • Duniani nilikuja bila kitu na nitatoka bila kitu.CCM kuniahidi vitu vya ulimwengu niache kutetea haki kwa watanzania wote, hiyo sitaki nimekataa. Maofisa wa usalama wa taifa wamekuwa wakitumwa kwangu kuniambia kwamba nitajengewa hoteli za kitalii, nitapewa hakikisho la kutosumbuliwa, Nifungue biashara tofauti kwa majina tofauti niwe mbinguni nchini Tanzania. Nimekataa. Sitokula chakula cha mfalme dhalimu CCM. Bora ninywe chai rangi, kuliko ya maziwa na CCM. Nitembee miguu, kuliko gari ya CCM.YES

  • Madukuduku ya Tanzania siku moja yatalipuka kama Kenya. CCM wanatembea na makaa ya moto nguoni. Dhuluma za kisiasa wanazofanyiwa Zanzibar zitawatokea CCM puani. Kwamba kuna amani bandia haina maana vita baridi hakuna. Na vita baridi huwa moto siku moja watu wakashangaa kama wanavyoishangaa Kenya leo. Haijalishi itachukua muda gani, lakini haki kwa wote Tanzania itatendeka siku moja. Na ni mapema kuliko mnavyodhani.

  • ewe fisadi wa Kenya, peleka ubaguzi huko Kenya!

    la kwanza CCM imechaguliwa na wananchi hadi Zanzibar, la pili jua kwamba mzanzibari ni mtanzania hakuna tofauti...babu yangu ambae ni mzaliwa unguja ana ukoo ulosambaa kuanzia Bagamoyo, Unguja hadi Pemba hata yeye hajui tofauti...ina maana yee ajibague na kaka zake walozaliwa Dar es salaam??

  • Munishi anazungumzia kuhusu dhuluma za CCM kwa watanzania wote. Wanaojisikia kunyanyaswa watakuwa kabila moja. Na Mabepari wa CCM kabila la pili. Halafu kuchinjana kama kuku kutaanza. Wote waliojipatia mali kwenye kivuli cha CCM watachinjwa na mali zao kuharibiwa. Mkiona Kenya wananyoana Tanzania vichwa wekeni maji.

  • Huwezi kuwanyanyasa wananchi Tanzania kwa miaka zaidi ya arobaini, useme ni kisiwa cha amani. Kwamba Bush anawaunga mkono CCM haikifanyi chama hicho kuwa safi bila damu mikononi mwao. Nani waliowaua wananchi zaidi ya mia moja huko Zanzibar? Ni CCM. Nani wanaowanunua wachungaji wa makanisa na kuwafanya wabunge wateule? ni CCM. Nani wanaojenga mashule ya kulipia na kuyaandikisha kwa majina ya makanisa? Ni CCM. Dawa iko jikoni.Hamtayaamini macho yenu.

  • africans u make me sick...

    UNITE..we are in this together!..mimi ni mkenya..na ninaona aibu kuwa mwafrika..tunatengana kutengana ndiyo maana hatuna maendeleo..

    believe dat

  • Mnaona? Kikwete akipandwa na wazimu zake, anavunja baraza lote la mawaziri. Yaani serikali ni yake, na mawaziri ni mali yake. Kesho akiamua wapinzani Zanzibar wauawe hakuna atakaemzuia. Mkapa aliwahi kufanya hivyo. Huu ndio ukiritimba tunaotaka ubadilishwe. Katiba ibadilishwe ili bunge liwe na mamlaka kuliko rais. Kenya wanauana kwa sababu Kibaki mwenye mamlaka kuliko kila mtu ameamua wakenya wauane. Haifai, siyo sawa.

  • sijalizishwa na utendaji wako wa kazi mheshimiwa.......Tanzania inahitaj mchapakazi

  • fuck u kikwete

    we dont want ccm in zanzibar

    we want our country back from tanganyika

    zanzibar is not a part of tanganyika nyerere just stolen it after he killed karume

  • zanzibar is not a part of tanganyika... it's a part of tanzania. mimi siwaelewi waafrika... acheni kutengana na muungane!

  • tanganyika na zanzibar ndio wanaita tanzania na utawezaje kuungana na mtu asokupenda ?

    watanganyika wanawatenga wazanzibar kama wewe umezaliwa zanzibar huwezi kupata kazi serikalini na kila tukiwa na uchaguzi serikali ya tanganyika inaleta majeshi znz kuja kubaka , kuuwa na hata kuibia wazanzibar mali zao na hayo yametokezea kwenye uchaguzi wa 1995,2000 na hata 2005 na hayo yametokea chini ya uwongozi wa raisi mkapa

  • ebu niambiye... waongozi wazanzibar wametoka bara au...? raisi wa zanzibar alizaliwa bara?

  • tanganyika wamemfanya raisi wa zanzibar awe hana idhini yoyote anaongozwa na serikali ya tanganyika na vile vile wamemuweka kama ni mbunge tu wakati nyerere alikuwa akimuogopa karume ndio akafanya mipango yake ya kumuuwa lakini utaona leo viongozi wanaowaweka zanzibar ni vibaraka vya tanganyika na aboud jumbe kwao bongo na ali hasan mwinyi kama sio kweli?

  • jkhgjht,

    hakuna serikali ya Tanganyika. Kuna Serikali ya Muungano wa Tanzania, na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

    Hivi huoni kuwa licha ya Muungano, Zanzibar bado imebaki na utawala wake? lakini bado unalalamika.

    Au unataka kuvunja Muungano tu wewe?

  • hakuna mzanzibar halisi anayetaka muungano na kama huamini wambie serikali yako waitishe kura ya maoni znz uone matokeo

    serikali ya tanganyika inawadidimiza wazanzibar kila kitu cha znz wanakichukuwa na vitu vya tanganyika ni vyao pekee yao tumechokaa na nyie tupeni mapumziko ya wizi wenu , muungano umetuletea hasara hapa visiwani sasa hivi majambazi tele wakati tulikuwa tukilala milango wazi b4 mumetoka zibaki kwa wizi wa kutumia bunduki mtwana hana kheri hata umtie kwenye chupa atajitokeza

  • Ndugu jkhgjht,

    Naomba nirudie tena kuwa hakuna serikali ya Tanganyika. Serikali inayofanya kazi Bara ni serikali ya Muungano ambayo inashirikisha pande zote mbili.

    Na kuhusu ishu ya majambazi are you suggesting kwamba Serikali ya Muungano ndio inatuma majambazi Zanzibar?

    Serikali kwa kupitia Jeshi la Polisi siku zote inapambana na majambazi. Sema ndio hivyo mara nyingi majambazi ni wajanja.

    Kwa hiyo labda Tanzania iishtaki Serikali ya Kenya kwa kuleta majambazi upande wa Bara?

  • serikali ya bara imeondoa passport baina ya znz na tanganyika kwa maana zao kwa makusudi

    kuleta majambazi kuja kututoa roho kwa vile walivyokuwa hawatupendi kisha munasema ati watanzania ndugu kweli wewe ndugu yako unaweza kumuuwa ? mbona serikali ya tanganyika inatuletea polisi na majeshi kuja kutuuwa unguja na pemba na kutubaka kisha munataka tuwapende abadani asilani hatuwezi kuwapenda wabaya wetu

  • Passport ndani ya nchi moja ilikuwa ni kichekesho. Au unasemaje, kuwe na passport ukitaka kwenda Pemba au mtu wa Pemba akitaka kuja Unguja awe na passport. Ikoje hiyo?

    Hao polisi unaosema wamekuja kuwauwa ni kwa sababu CCM inaona ni vigumu kwa wao kuendesha serikali ya Muungano na chama tofauti Zanzibar. Dawa ni kuibwaga CCM na bara pia, maana wakishashinda bara wanapata kiburi cha kuhakikisha wanatawala na visiwani. Ila naamini chama kama CHADEMA kikishinda bara hakiwezi kufnya fitna kama hiyo

  • aamka ndugu jkhgjht. you are very confused my brother. tafadhari uniambiye, nani ampendi nani na nani ndiyo huyo mwizi anaye waibia wazanzibari? the problems za wazanzibari are the same as the problems za wabara... na tatizo hilo siyo kwasababu ya muungano. mbona wako wabara wengi wasio penda serikali... sasa utasemaje kuhusu hao wabara? tatizo sio serikali au muungano. tatizo ni waongozi... waongozi hao ni watanzania... baadhi wamezaliwa bara na wengine wamezaliwa unguja, pemba...

  • bwana nyoka ni nyoka hata awe vipi atakuwa hatari iko siku atakuuma hata wewe hapo uwekwe kuwa raisi wa tanzania basi utakuwa kama hao lakini ukimuweka mzanzibar halisi kuwa kiongozi wa nchi kama vile raisi wa tanzania hutoona tena mzanzibar kuuliwa ama kupigwa kipumbavu na polisi , wewe kwani huoni wanavyofanya polisi kwa wazanzibar na wale polisi wanatokea bongo hata imani hawana kama yule wanaempiga ni binaadamu

  • kwanza, you don't know me kusema mimi naweza kuwa raisi gani kwa watanzania wote. if that reasoning is logical basi na wewe ukiwekwa kuwa raisi utakuwa kama kila mwongozi alie ongoza nchi yetu. why in the world would all mainland people hate wazanzibari?

  • serikali ya tanzania wanatuchukia wazanzibar kwa sababu tunadai haki yetu tumechokaa kubuguziwa na kuteswa na kuuliwa na serikali ya tanzania bara , na inshallah mkapa apate ajali mbaya ya ndege hata mfupa wake usionekane kwa alivyowauwa watu wa zanzibar kisha akajidai yeye alikuwa hayupo nchini sio kusa lake

  • mzanzibari ni mtanzania hakuna tofauti...babu yangu ambae ni mzaliwa unguja ana ukoo ulosambaa kuanzia Bagamoyo, Unguja hadi Pemba hata yeye hajui tofauti...ina maana yee ajibague na kaka zake walozaliwa Dar es salaam??

  • wewe mkuki mtwana usijidai mzanzibar

    mzanzibar na mtanganyika sio ndugu isipokuwa paka kumuonea panya

    zanzibar ni nchi huru miaka ya nyuma kabla ya kufa karume ndio maana akawambia nyie watwana mwisho chumbe

  • Stop begging !!! There is no fucking oil in Tanzania!! Get your tourism industry up and going !! get your fucking minerals especially Tanzanite be recognized !! mothafuckers here in north america think tanzanite is from south africa!!....get it straight president !! Fuck dis mambo jambo shit !! Develop rural areas...instead of just focusing on dar-es-salaam putting fucking atm machines every fucking street and call it development!! fuck!

  • That's "what Im talking about" way!!!!! to go Mr.President,I wish you can come on wall street and close the market some time and give awareness to all the big Investor,very good strategy. Nimekubaliana na muheshimiwa kikwete 100% hari na kasi kama hii tukiendelea nayo tanzania itakuwa dubai ya Africa. well done Mr.president

  • I didn't realize Jakaya Kikwete was so eloquent...I just read an article about him on The Economist, and I wanted to check him out.

  • i like u spech

  • intrepeco dont waste ur time to argue with stupid ass nigga call himself ZOGOKLAN,he is just hater 4 anything relate to wabongo,he always talk negative about bongo,as i told him b4 he is not belong to any bongo shit,so zogoklan get ur monkey ass hurry here! we dont need ur comment fool!what part u dont understand???

  • We dont need investors who are going to milk the country. I dont see the benefita of these multi national companies. The government needs to force foreign investors to give out some shares to the public, so people can benefit as dividends.

  • You are a slave..Running to Kenya and US is "vitendo" to you..Are you refering to squatters or watoto wa mitaani? My experience in Kenya showed me that we share these problems.. Stop your blindness and be realistic.. what the difference between earning 5000Kshs and 50000Tshs with respect to cost of living? I suspect you are an Indian for such insensitivity.

    and much of GDP accounts to them.. it is just their final figure divided over your empty head and you think you have the money.

  • i knew you would turn to racism and that kind of crap fact remains, tz sucks!

  • Nobody forced you to stay there. We will build it ourselves and we dont need crappy role models because we look at life differently.Your crappy selfish way of looking at life and running away from one country to another and being loyal to none is typical. If you are an Indian, first go and sort out the apartheid under caste system in your country first, then may be you can talk about Tanzanian. You wont lie to us anymore. I know you are bitter. Just beat it.

  • Raisi Kikwete na Raisi Kibaki wameshaghuliwa rasmi.These two presidents definately have a vision for their respective countries.

  • JK is a blessing to the continent of Africa,one of the few leaders who are kind,honest and hard working

  • JK....Represents Tanzania...Probably the only country in Africa that is peaceful 100%...Long live Tanzania...

  • JK is a exceptional leader,a president who can intergrate with his people.

  • ever heard of kenya asshole kenya is east africa's premier economy y'all are crazy tanzania is str8 up fucked up! that is why i moved to kenya!

  • Economy grows if there is still potential.. and there is plenty of it in Tanzania.. which scares you..You are simply a frustrated indivividual who always runs away for the hope of finding a bascket of diamonds at the end of the rainbow..

    You returned home ZOGO.. because we dont need vagabonds and do nothings in Tanzania. What would you do there even if you stayed for 300 years? Get real and shut up..

  • thats some bull shit look at the respective countries' GNP & GDP and u will see the difference. stop leaving a lie and romanticising the whole issue ati diamonds and the end.......this is life not a fairy tale!

  • If you have investors what would stop them from investing in Tanzania? GNP & GDP have a different definations nowadays, because you have to add environmental degradation, corruption,etc, to exactly know where you stand. You live in US and not in Kenya .. still runing away.. and I think you appreciate the fact that GDP doesnt mean anything for the homeless in US and in Mathare. ZOGO you left Tanzania out of your cowardness.. Just know that we do things at our own pace..

  • i hear a man in denial we just have to look at the difference in lifestyle and variances in levels of poverty in tanzania and we will be shocked! the poor in kenya are like the lower middle class earners in tanzania and that is from a un study. mbona wabongo twajidanganya twahitaji mabadiliko kweli sio tu ushairi bila vitendo!

  • You are a slave..Running to Kenya and US is "vitendo" to you..Are you refering to squatters or watoto wa mitaani? I suspect you are an Indian for such insensitivity.

    My experience in Kenya showed me that we share these problems.. Stop your blindness and be realistic.. what the difference between earning 5000Kshs and 50000Tshs with respect to cost of living? and much of GDP accounts to them.. it is just their final figure divided over your empty head and you think you have the money.

  • tanzania is a dictatorship country

    how many people getting killed by the tanzania goverment every single general election in zanzibar? and now u want to tell me that tanzania is a peaceful country?

    since when ? what about these people who been killed by mkapa when he was a president

  • Good Work! JK

  • sukmaibolz u do not know wat you are talking about?

    come to Tanzania and see

  • he is nothing but a corrupt thief who doesnt give 2 shits about his people...i feel sorry for Tanzanians.

  • no do not talking shit feel sorry for yourself.

  • Exactly!!

    I,m Tanzanian as well!

    Tanzania where leaders can kill anyone when they want to.

    Even Tanzanian court systeem is corrupt.

Loading...
Alert icon
0 / 00Unsaved Playlist Return to active list
    1. Your queue is empty. Add videos to your queue using this button:
      or sign in to load a different list.
    Loading...Loading...Saving...
    • Clear all videos from this list
    • Learn more